 |
Baba Mzazi wa Edwin pamoja na baadhi ya washiriki |
Picha za siku ya kumbukumbu tayari zimewekwa katika blog ya mpendwa wetu. Tunawashukuru wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha zoezi zima.
Ilikuwa ni siku muhimu kwetu sote, imetuletea faraja tele sote, hasa wazazi wake. Tuendelee kudumu katika upendo na umoja huu daima.
Twawapendeni nyote, kama Edwin alivyotupenda sote, kila mmoja kwa namna yake.
Waaooh!!!! Its nice!!!!
ReplyDelete