Pages

Sunday, November 7, 2010

PICHA ZA MAZISHI - MOSHI

Mtoto akitokwa machozi msibani - Moshi
Kutokana na maombi ya watu wengi kuhusu picha za mazishi, picha chache zimewekwa ili tuweze kuona hali halisi ilivyokuwa katika kumuaga mpendwa wetu.

Hata hivyo, imekuwa vigumu kuweka picha zote, hasa zile ambazo zingeweza kuwasononesha mno, na pengine kuwatisha sana.

Daima tumuenzi Edo, alitupenda sana, kila mmoja mmoja wetu kwa namna yake, na sote kwa ujumla wetu.

Viewers Discretion is Advised.

1 comment:

  1. Yes... Sikubahatika kumjua Edo, lakini kwa namna ambavyo amekuwa akikumbukwa na kuenziwa na wengi, imenipa taswira kuhusu maisha yake. Kama nilivyowahi andika hapa (http://changamotoyetu.blogspot.com/2010/01/utakumbukwa-kwa-deshi-ya-maisha-yako.html), ni kuwa maisha yetu yana awamu mbili za lazima nazo ni kuzaliwa na kufa, lakini litufanyalo tukumbukwe ni DESHI za maisha yetu.
    Suala si kumkumbuka Edo, suala ni KIPI TWAJIFUNZA KUTOKANA NA MAISHA YAKE??
    REST IN PEACE EDWIN.

    ReplyDelete