Pages

Thursday, November 18, 2010

Wazazi Wawasili

Wazazi wa Edwin wanafika jioni ya leo jijini Mwanza wakitokea mjini Moshi kwa ajili ya shughuli nzima ya Kumbukumbu ya mtoto wao mpendwa.

Marafiki mbalimbali pia wameanza kuwasili toka pande mbalimbali, hasa wanauchumi waliomaliza mwaka jana wa masomo - SAUT, ambao kwa kiwango kikubwa wamefaidi upendo wa Edwin. Dada Ester, Kaka Godfrey na Dada Zahra wamethibitisha uwepo wao.

Maandalizi mengine yanaendelea vema na ni matumaini yetu kuwa siku hiyo muhimu itaenda kama inavyokusudiwa. Tutaendelea kuwapa mtiririko mzima kadiri muda uendavyo.

No comments:

Post a Comment