Pages

Saturday, November 6, 2010

Missing You!

Zaidi sana siku ya leo,
natamani sana ungekuwa pamoja nami! 
Natamani tungekuwa sote chumbani,
Tungejadili mustakabali wa nchi yetu,
Pengine tungesoma vitabu
Tungefurahia siku hii pamoja,
Nakumiss rafiki yangu,
Nakupenda,
You will live in my heart
Leo, daima na milele!
Nakupend Edo,
I will always miss you.
Kweli, 
The good die young!




No comments:

Post a Comment