Pages

Tuesday, May 3, 2011

NATAMANI UNGEKUWEPO...

Nitazamapo mwenendo wa dunia ya sasa,
Mfululizo wa matukio
Nakumbuka uchambuzi na mtazamo wako
Na upenbuzi wako kujua nini kingetokea baada ya haya
Pengo lako halitozibika kamwe...

No comments:

Post a Comment