Edwin Macha alizaliwa Februari 19, 1989. Katika kuadhimisha siku hiyo, marafiki, wanadarasa na wachumi wa SAUT wanafanya mpango wa Misa kwa ajili ya mpendwa wetu.
Misa hiyo inatarajiwa kuwa itafanyika katika kanisa la Malimbe, katika utaratibu wa kawaida wa misa za asubuhi. Mipango mingine,pamoja na inaendelea na itatolewa kadiri siku zinavyozidi kukaribia.
Tafadhali, toa maoni yako namna unavyopenda siku hiyo iadhimishwe katika kumuenzi mpendwa wetu.
No comments:
Post a Comment